Pages

Sunday, September 29, 2013

KATIBU MKUU KIONGOZI AWAAGA MWENYEKITI NA MAKAMISHNA WA TUME YA UTUMISHI WA UMMA



Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (aliyesimama katikati mstari wa mbele), katika picha ya pamoja na Mwenyekiti Tume ya Utumishi wa Umma aliyemaliza muda wake Bwana, Jovin Kitambi (Kushoto) na Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma, Bibi Claudia Mpangala (Kulia), pamoja na Makamishna na baadhi ya Watendaji wa Tume ya Utumishi wa Umma. Mwenyekiti na Makamishna hao walikwenda Ikulu kumuaga baada ya kumaliza muda wao wa Uongozi katika Tume ya Utumishi wa Umma, kwa kipindi cha miaka Sita.

No comments:

Post a Comment