![]() |
|
Baadhi ya wananchi wakiangalia vitenge
vianavyotengenezwa kutoka China katika maonyesho yanayoendelea kwenye ukumbi wa
Diamond Jubilee jijini Dar es salaam.
|
![]() |
|
Mwakilishi wa kampuni ya Linghang (Shanghai) Lilian Rajabu akitoa maelezo
ya bidhaa ya mchele unaolimwa nchini China kwa baadhi ya wageni waliotembelea
banda lao la maonesho.
|
![]() |
|
Mwakilishi wa kampuni ya Linghang (Shanghai) Lilian Rajabu akionesha bidhaa
ya mchele unaolimwa nchini China kwa baadhi ya wageni waliotembelea banda lao
la maonesho.
|
![]() |
|
Mfanyakazi wa kampuni ya Orientar Holdings (African Showcase) Rosemary
Michael akitoa maelezo kuhusu utengenezaji na uagizaji wa vitenge kutoka nchini
China.
|
(Picha zote na Magreth Kinabo)




No comments:
Post a Comment