Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, September 3, 2013

Mh. Msigwa (CHADEMA) aendelea kumlipua Kagasheki


Nani mwongo kati ya mimi na Kagasheki.  Haya ndio maadili ya UONGOZI..? Haiwezekani kiongozi Waziri msimamizi wa Ngorongoro, mke wake apewe pesa kwa ajili ya foundation ya familia yao.  Eti Waziri anasema namfuata! Ninachotaka Waziri ajibu hoja .  Akisema mimi natumiwa na mafisadi bado hajajibu hoja yangu akatae hapa kama hajavunja utaratibu na kukiuka maadili ya UONGOZI

via CHADEMA DIASPORA  http://chademadiaspora.blogspot.com.au/2013/09/mh-msigwa-chadema-aendelea-kumlipua.

No comments:

Post a Comment