MJANE WA MIAKA 60 ANAOMBA MSAADA WA KUTIBIWA MKONO WAKE ULIYOANZA KUHARIBIKA BAADA YA KUJERUHIWA NA NYOKA WILAYANI CHUNYA TUNAOMBA RADHI KWA PICHA YA MKONO MTAKAYOIONA
Hivi ndivyo mkono wake ulivyo kwa sasa
Mwanamke
Mjane FAINES NAMBEYE KAONGA [60] Mkazi wa kijiji cha IGUNDU Kata ya
SANGAMBI Wilaya ya CHUNYA Mkoani MBEYA anawaomba wasamaria kumchangia
pesa kwa ajili ya kupata matibabu baada ya kujeruhiwa na nyoka
alipokuwa amelala chumbani kwake.
No comments:
Post a Comment