Pages

Monday, September 30, 2013

MWENYEKITI WA CHADEMA NA MBUNGE WA HAI FREEMAN MBOWE AHUTUBIA MKUTANO MKUU WA CHAMA CHA CONSERVATIVE DENMARK


Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe akihutubia mkutano mkuu wa chama cha Conservative Denmark tarehe 27.09.2013, jana alikutana na Mawaziri wawili mmoja ni wa mambo ya nje na yule wa Biashara, alizungumzia mambo mbalimbali kama ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu
, kuminya kwa uhuru wa habari na mauaji ya kisiasa yanayoendelea Tanzania akutana na wabunge wa Bunge la Denmark , ambao ni wajumbe wa kamati ya mambo ya nje ya Bunge hilo.Picha na Chadema

No comments:

Post a Comment