Hakimu
wa mahakama ya mwanzo mkoani Shinyanga achomwa kisu na mlalamikaji
baadaya ya kutoa hukumu kwa mtuhumiwa,hakimu huyo alitoa hukumu kwa
mtuhumiwa wa wizi wa baiskeli yenye thamani ya 150000 aina ya neria,
hukumu
hiyo alitoa ikiwa mtuhumiwa hayupo mahakamani mala tu baada ya kutoa
hukumu hiyo mlalamikaji aliwashukuru mahakama kwa uamuzi huo kisha
akatoka nje baadaye akaingia ofisini kwa hakimu kwa kigezo cha kwamba
alisahau kumpatia risti alyonunulia baiskeli baada ya muda kidogo
alipoingia alianza kumshambilia hakimu kwa kumchoma kisu sehemu
mbalimbali za, mwili wake na baadaya akakamatwa na jeshi la polisi na
kisha hakimu kukimbizwa hospitari ya mkoa wa Shinyanga
No comments:
Post a Comment