Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, September 27, 2013

TAMKO LA JKT KWA WANACHUO WALIOCHAGULIWA KUJINGA JKT



 VIJANA WA MUJIBU WA SHERIA AWAMU YA TATU 28 SEP 13.
VIJANA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA JKT AWAMU YA TATU NA PIA WAMECHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA ELIMU, AMBAO WANATAKA KUAHIRISHA MKATABA WA JKT, WANATAKIWA KUANDIKA BARUA MAKAO MAKUU YA JKT KUOMBA KUAHIRISHA MKATABA WA JKT.
1. BARUA BINAFSI YA KUOMBA KUAHIRISHA MKATABA IWE NA PICHA YAKE.

2.   NAKALA YA BARUA YA KUCHAGULIWA KUJIUNGA NA CHUO (JOINING INSTRUCTIONS)
3. BARUA HIYO IELEZE KUWA UTAJIUNGA NA JKT BAADA YA KUHITIMU MASOMO.
4.   BARUA ZAO ZIFIKE MAKAO MAKUU YA JKT KABLA YA TAREHE 02 OKTOBA 2013.
ANGALIZO
KUJIUNGA NA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA NI LAZIMA. HIVYO NI WAJIBU WA KILA MUHITIMU KUHUDHURIA MAFUNZO HAYO.

TANGAZO HILI LIMETOLEWA NA
JESHI LA KUJENGA TAIFA MAKAO MAKUU

No comments:

Post a Comment