Polisi wakikagua mahali alipokuwa amejificha mtuhumiwa wa bangi.
Mfuko wa bangi aliokamatwa nao mtuhumiwa.
Mtuhumiwa akipelekwa kutuo cha polisi.
Kijana ambaye hakutambulika jina lake mara moja amenaswa na polisi akiwa na mfuko wa bangi. Sakata
hilo limetokea maeneo ya Buguruni Sokoni jijini Dar es Salaam mara
baada ya polisi kumshuku jamaa huyo ambaye alionekana kujificha chini ya
matenga ya nyanya mara baada ya kuwaona polisi hao.
NYAKATI NGUMU HUPITA - ALI KAMWE
-
Licha ya kipigo kutoka kwa MC Alger, Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu
ya Yanga, Ali Kamwe, ameonyesha matumaini makubwa na kuhimiza mashabiki na
wan...
-
*MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka
Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu
kwenye ukum...
Majina ya Blog Zinazoanzia na Herufi I
-
*1. IMDB*
www.imdb.com
*2. IPP Media*
www.ippmedia.com
*3. Idhaa ya kiswahili DW.DE*
www.dw.de/idhaa-ya-kiswahili/s-11588
*4. Idawa Onlin...
No comments:
Post a Comment