Msanii Baba Levo ambaye pia ni moja kati ya wasanii wanaounda kampuni ya
Kigoma Allstars amesema Daimond amemwibia chorus yake nakuimba katika
wimbo wake mpya 'Number One' ambao umetoka hivi karibuni.Msanii huyo
ameandika hivi katika ukurasa wake wa 'facebook'
WAZIRI SILAA AKAGUA MRADI WA MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO HOROHORO
-
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa
(Mb), amesema kuwa uwepo wa Kituo cha Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano katika
eneo ...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment