Pages

Wednesday, September 4, 2013

TUHUMA ZA KUIBA NYIMBO ZA WATU ZAENDELEA KWA MSANII DIAMOND,BABA LEVO ALALAMIKA KAIBIWA KORASI NA DIAMOND,SOMA HAPA

Msanii Baba Levo ambaye pia ni moja kati ya wasanii wanaounda kampuni ya Kigoma Allstars amesema Daimond amemwibia chorus yake nakuimba katika wimbo wake mpya 'Number One' ambao umetoka hivi karibuni.Msanii huyo ameandika hivi katika ukurasa wake wa 'facebook'

No comments:

Post a Comment