Ni ajali ya Gari lililokuwa limebeba shehena ya ngano limepinduka maeneo ya Migela
ndani ya Manispaa ya Mji wa Bukoba, gari hilo lenye namba ya usajili T893 BPZ mali ya
kampuni ya AZAM na kuna uwezekano kuwa na watu kadhaa wamepoteza maisha, kutoka na vifaa vinavyotumika kuokolea kuwa duni.
Mguu ukionekana kwa nje katika gari lililopata ajali ambalo lilikuwa limebeba ngano
Hivi ndivyo watu wanavyojaribu kutumia
magongo ya miti katika zoezi la uokoaji wa maisha ya mmoja wa raia
anayeendelea kutahabika baada ya kupindukiwa na gari hilo lililokuwa limebeba shehena ya ngano.BUKOBAWADAU BLOG
No comments:
Post a Comment