Pages

Wednesday, October 2, 2013

ANGALIA PICHA::UWOYA,JOHARI WAJIACHIA A TOWN



MASTAA kunako tasnia ya filamu za Kibongo,Irene Uwoya na Brandina Chagula‘Johari’ wamepost picha mtandaoni wakionekana wakila raha na marafiki zao wa Jijini Arusha,katika hotel ya Mount Meru.
Johari aliandika @mount meru,huku Uwoya akiwa na mtoto wake Krish akitupia Off to some where in africa wth my family.
Wawili hao ambao ni marafiki wa siku nyingi wamekuwa wakisafiri mara kwa mara pamoja ambapo kipindi fulani walikwenda pamoja Afrika Kusini na hawakuweka wazi kama walikwenda kwa shughuli za kisanii au la.

No comments:

Post a Comment