Pages

Thursday, October 3, 2013

BALE NJE WIKI TATU, KUWAKOSA COPENHAGEN LEO UEFA…LAKINI OKTOBA 27 BARCELONA WANALO BALAA!!

Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sportsmail
Mchezaji ghali zaidi katika Ulimwengu wa soka, Gareth Bale atakaa nje ya dimba kwa wiki tatu kabla ya kuwa fiti kucheza mechi ya kwanza kwake baina ya watani wa jadi wa La Liga, klabu yake ya ReaL Madrid dhidi ya Fc Bracelona maarufu kwa jina la Clasico.
Nyota huyo raia wa Whales tangu ajiunge na miamba hiyo alianza mechi moja tu kati ta tano alizoichezea Real Madrid na amekaa uwanjani dakika zipatazo 132 katika michezo yote. Na bado anasubiri kuanza kwa mara ya kwanza katika mechi ya nyumbani.
Leo hii usiku katika michuano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya baina ya Copenhagen, Bale alitaraji kucheza mchezo wake wa kwanza nyumbani, lakin itakosa kipute hicho kutokana na majeruhi na atakaa nje kwa wiki tatu kabla ya kucheza mchezo dhidi ya Barcelona Octoba 27 mwaka huu.
D-Day: Gareth Bale arrives at a Madrid hospital to undergo tests on his injury Anaumwa: Gareth Bale akiwasili leo hospitali ya Madrid kuchukua vipimo
D-Day: Gareth Bale arrives at a Madrid hospital to undergo tests on his injury
Bernablow: Bale was due to start the match against Getafe, but pulled up in the pre-match warm-upBado sana: Bale alitakiwa kuanza katika mechi dhidi ya Getafe, lakini alishindikana wakati wa mazoezi ya kupasha moto misuli
Driven: Bale (left) sits in the passenger seat as he arrives for the testsNgoma inaendeshwa: Bale (kushoto) akiwa amekaa kiti cha abiria wakati akiwasili kuchukua vipimo
Down: Bale came on as a substitute against local rivals Atletico Madrid Chini: Bale alianzia benchi katika mchezo wa watani wa jadi , klabu ya Atletico Madrid
Nice start: Bale scored in his debut before coming off the bench to help Real hammer Galatasaray 6-1Mwanzo mzuri: Bale alifunga kwa mara ya kwanza na kuisaidia Real Madrid katika ushindi mnono wa mabao  6-1 dhidi ya Galatasaray.

No comments:

Post a Comment