Pages

Thursday, October 3, 2013

TRENI YA MWAKYEMBE YAPATA AJALI



Lori
lililogonga treni ya Mwakyembe lililokuwa likitoka Stesheni kuelekea
Ubungo likiwa limemaliza kufungwa kwa ajili ya kuondolewa kwenye ajali mara baada ya kuligonga treni hilo eneo la Buguruni Bakheresa
Lorilenye namba za usajili T 191 BDG lililogonga treni ya Mwakyembe
likiondolewa kwenye eneo la ajali kwenye majira ya
saa nne  jana usiku
Likiwa limepinduka mara baada ya kuligonga treni hilo eneo la Buguruni
Bakheresa

Vijana wakiwajibika kukusanya chupa zilizozagaa chini baada ya lori kungonga na traina ya Mwakyembe mpaka tunaondoka kwenye tukio hili saa nne usiku kazi ilikuwa ikiendela
Wamilki
wa gari na pia mzigo uliokuwa umebebwa na lori ilo wakijadili kitu ili
kuweza kuukusanya mzigo wote uliomwagika baada ya Train la Mwakyembe
kuligonga

Ulinzi ulikuwa ni wakutosha kwenye ajali hiyo kwani kulikuwepo wezi ambao walitaka kuiba chupa
Kazi ya kukusanya chupa ikiendelea mpaka kufikia saa tatu mzigo ulikuwa unazidi kupungua
Huu ndio mzigo uliomwagika baada ya kugongwa na Train la Mwakyembe

Wakazi
wa jiji la dar wakishuhudia ajali hiyo ya lori lililogonga treni ya
Mwakyembe majira ya Saa kumi na mbili Jioni ya jana lakini mpaka saa
tatu usiku kazi ilikuwa enaendelea kukusanya chupa hizo kwenye Eneo la Buguruni Bakheresa
Huu ndio mzigo uliobaki kwenye gari ilo lililogongwa na Train ya Mwakyembe
Gari il lililetwa ili kuwaidia kubeba chupa ambazo zilikuwa zimezaa eneo kubwa
Hizi ni chupa tupu ambazo zilikuwa zimebebwa na lori ilo lililogongwa na Traini ya Mwakembe
Wakazi wa jiji la dar wakishuhudia ajali hiyo ya lori lililogonga treni ya Mwakyembe majira ya Saa kumi na mbili Jioni ya jana lakini mpaka saa tatu usiku kazi ilikuwa enaendelea kukusanya chupa hizo kwenye Eneo la Buguruni Bakheresa
PICHA NA PAMOJA 

No comments:

Post a Comment