Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, October 4, 2013

DKT. BILAL AAGANA NA MABALOZI WALIOMALIZ​A MUDA WAO NCHINI



1 1039c
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Balozi wa Tanzania, nchini Addis Ababa, Ethiopia, Naimi Aziz, aliyefika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Okt 3, 2013 kwa ajili ya mazungumzo.


3 24bd3
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Balozi wa Oman nchini Tanzania, Yahya Moosa Bakari, aliyefika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Okt 3, 2013 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini

No comments:

Post a Comment