Pages

Wednesday, October 16, 2013

DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA SIKU NNE wa mabadiliko ya tabianchi



01 d1cbb
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanznzania, akihutubia wakati akifungua mkutano wa siku nne wa Kimaitaifa wa Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, uliofanyika kwenye Ukumbi wa AICC jijini Arusha
02  cee83
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mwanasayansi wa masuala ya hali ya hewa,
03 ebf2c
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia ngoma ya asili wakati akiondoka Ukumbi wa AICC baada ya kufungua mkutano wa siku nne wa Kimaitaifa wa Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, uliofanyika kwenye Ukumbi wa AICC jijini Arusha Jana. Picha na OMR (HD)

No comments:

Post a Comment