Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, October 2, 2013

FALLY IPUPA ATOA MSAADA WA AMBULANCE 'MERCEDES-BENZ' MJI WA GOMA, KUPITIA FALLY IPUPA FAUNDATION'WASANII WA TZ TUIGE MIFANO HII.


Mwanamuziki huyu amekuwa akijitahidi kutoa misaada mbalimbali nchini kwake pamoja ya kwamba amehamishia makazi yake Paris, Ufaransa.
Miezi ya hivi karibuni alitoa pia misaada mbalimbali kwenye kituo cha watoto yatima cha Matumayini cha nchini humo na kupiga nao picha kwa lengo la kuwafariji.MSANII wa muziki wa dansi wa nchini Kongo,Fally Ipupa ametoa msaada wa gari la wagonjwa(ambulance)katika Mji wa Goma,Kongo kupitia mfuko wake wa Fally Ipupa Faundation(FIF).
Mwanamuziki huyo amekuwa akijitahidi kutoa misaada mbalimbali nchini kwake pamoja ya kwamba amehamishia makazi yake Paris,Ufaransa.

-

No comments:

Post a Comment