Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, October 2, 2013

TAZAMA BAADHI YA PICHA ZA STUDIO MPYA YA PROF. JAY "MWANALIZOMBE STUDIO"



 Mwanalizombe Studios Ni Recording Lebel Inayomilikiwa na Rapper Profesa Jay, Studio ipo msasani na Ameamua kuipa Jina la Mwanalizomba kwasababu Jay Ni mtu wa Ruvuma na Mwanalizombe maana yake ni Mwana Ruvuma na kufanya hivyo ameonyesha mapenzi ya mkoa wake wa Ruvuma. Producer kwenye studio hii ni Duke Touchez.

 Profesa ameshindwa kusema amewekeza kiasi gani cha fedha kwenye studio hio ila fahamu kuwa vifaa vilinunuliwa kwa wakati tofauti na ni vifaa vya hali ya juu sana.CHANZO SAMMISSAGO.COM

No comments:

Post a Comment