Mwanamuziki huyu amekuwa akijitahidi kutoa misaada mbalimbali nchini
kwake pamoja ya kwamba amehamishia makazi yake Paris, Ufaransa.
Miezi ya hivi karibuni alitoa pia misaada mbalimbali kwenye kituo cha
watoto yatima cha Matumayini cha nchini humo na kupiga nao picha kwa
lengo la kuwafariji.MSANII
wa muziki wa dansi wa nchini Kongo,Fally Ipupa ametoa msaada wa gari la
wagonjwa(ambulance)katika Mji wa Goma,Kongo kupitia mfuko wake wa Fally
Ipupa Faundation(FIF).
Mwanamuziki
huyo amekuwa akijitahidi kutoa misaada mbalimbali nchini kwake pamoja
ya kwamba amehamishia makazi yake Paris,Ufaransa.
No comments:
Post a Comment