TAZAMA BAADHI YA PICHA ZA STUDIO MPYA YA PROF. JAY "MWANALIZOMBE STUDIO"
Mwanalizombe Studios
Ni Recording Lebel Inayomilikiwa na Rapper Profesa Jay, Studio ipo
msasani na Ameamua kuipa Jina la Mwanalizomba kwasababu Jay Ni mtu wa
Ruvuma na Mwanalizombe maana yake ni Mwana Ruvuma na kufanya hivyo
ameonyesha mapenzi ya mkoa wake wa Ruvuma. Producer kwenye studio hii ni
Duke Touchez.
Profesa ameshindwa kusema amewekeza kiasi gani cha fedha
kwenye studio hio ila fahamu kuwa vifaa vilinunuliwa kwa wakati tofauti
na ni vifaa vya hali ya juu sana.CHANZO SAMMISSAGO.COM
No comments:
Post a Comment