Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, October 31, 2013

Hiki ndio kijiji ambacho Meya wake alipiga marufuku watu kufa


Sarpourenx 
Kuna habari za matukio kwenye hii dunia ambazo ukipewa unaweza kukataa au kuwa mbishi kukubali ila ni habari za kweli kama hii ya kijiji cha Sarporeunx huko kusini mashariki mwa Ufaransa ambacho Meya wake alipiga marufuku watu kufa baada ya kuishiwa maeneo ya kuzika watu.

Yani kijiji kiliishiwa maeneo ya kujengea makaburi hivyo meya wa kijiji Gerald Lalane akapiga marufuku wanakijiji kufariki dunia kwa kuwa hakuna maeneo ya kuwazikia,yaani kwa kifupi alipiga marufuku kifo kwenye tamko lake mwaka 2008.
1
2

Kuna habari za matukio kwenye hii dunia ambazo ukipewa unaweza kukataa au kuwa mbishi kukubali ila ni habari za kweli kama hii ya kijiji cha Sarporeunx huko kusini mashariki mwa Ufaransa ambacho Meya wake alipiga marufuku watu kufa baada ya kuishiwa maeneo ya kuzika watu. Yani kijiji kiliishiwa maeneo ya kujengea makaburi hivyo meya wa...

No comments:

Post a Comment