WANANCHI MBALIMBALI WAKIWA WANAINGIA KWA AJILI YA KUJIPANGA
BAADHI YA WANAFUNZI WAKIWA WANAJIPANGA KWA AJILI YA KUANZA MATEMBEZI
BAADHI YA WADAU MBALIMBALI WAKIENDELEA KUJIPANGA
GARI LA HUDUMA YA KWANZA LIKIWA TAYARI KWA AJILI YA KUTOA HUDUMA WAKATI WA MATEMBEZI
KUTOKA KULIA NI MR PETER AKIWA ANASALIMIANA NA MUHUSIKA KUTOKA ST.JUDE
KIKOSI CHA KK SECURITY KIKIWA TAYARI KWA AJILI YA MATEMBEZI YA SIKU YA TEMBO
MR.PETER AKIWA ANAONGEA NA WANAFUNZI WA CHUO CHA MISITU NA WANYAMA PORI MWEKA WANAJUMUIKA NA MATEMBEZI YA TEMBO.
ENDELEA KUFUATILIA TUKIO HILI LA LIVE KUTOKA ARUSHA
PICHA ZOTE NA BLOGS ZA MIKOA NA DJ SEK
No comments:
Post a Comment