Pages

Sunday, October 27, 2013

MAHAFALI YA KWANZA YA SHULE YA WAMA NAKAYAMA YATIKISA NYAMISATI RUFIJI

1Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mama Salma Kikwete Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo WAMA jana wakati alipowasili katika viwanja vya mahafali kwenye  mahafali ya Kwanza ya Shule ya Sekondari WAMA Nakayama yaliyofanyika katika shule hiyo iliyopo katika kijiji cha Nyamisati, Wilaya ya Rufiji Mkoa wa Pwani jana.Zaidi ya wanafunzi 60 walitunukiwa vyeti vya kumaliza kidato cha nne na zawadi mbalimbali zilitolewa kwa  wahitimu wakati wa mahafali hiyo ambayo ilihudhuriwa pia na viongozi na watu mashuhuri akiwemo balozi wa Japan na wafanyabiashara ambapo mwenyekiti wa IPP Reginald Mengi aliahidi kuisadia shule hiyo  shilingi milioni 200 kila mwaka kwa miaka mitano mbazo ni kiasi cha shilingi bilioni moja kwa miaka hiyo mitano.PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE-NYAMISATI RUFIJI1aaRais Jakaya Kikwete akizungumza na wageni waaikwa na wahitimu wakati wa mahafali hayo jana huko Nyamisati Rufiji.2Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa shule ya WAMA Nakayama Suma Mensa na viongozi mbalimbali wakati aliowasili shuleni hapo.4Watu mashuhuri na viongozi mbalimbali wakiwa katika mahafali hayo5Mama Salma Kikwete akiwasili katika eneo la tukio kushoto ni Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya shule hiyo Dr. Ramadhan Dau.5aWahitimu wakiingia katika eneo la tukio6Mwenyekiti wa WAMA Mama Salma kikwete akicheza na wanawake wenzake wake wa viongozi.6bRais Jakaya Kikwete wa nne kutoka kulia akiwa na viongozi mbalimbali katika meza kuu wakiimba wimbo wa taifa uliooongozwa na wanafunzi wa shule ya WAMA Nakayama kutoka kulia ni Balozi anzania  Mhe.Masaki Okada Mkuu wa mkoa wa Pwani Ndugu Mwantumu Mahiza, Mama Salma Kikwetena kutoka kushoto ni Dr. Ramadhan Dau Mwenyekiti wa bodi ya shule ya Wama Nakayama na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dr. Shukuru Kawambwa.7Baadhi wa walimu wa shule hiyo7cBaadhi ya wanakamati kutoka kulia ni Teddy Mapunda Mkurugenzi wa Kampuni ya Montage,  DaudiNasibu katibu mkuu taaisis ya WAMA na Dan Kiondo.8Baadhi ya wananfunzi wa shule ya WAMA Nakayama8cMh. Mbunge Vick Kamata akiongoza wanafunzi wa Wama Nakayama kuimba wimbo maalum kwa wahitimu katika mahafali hayo9Viongozi mbalimbali wakicheza muziki wakati wa mahafali hayo9dDr. Ramadhan Dau Mwenyekiti wa bodi ya shule ya Wama Nakayama akizungumza katika mahafali hayo10Mama Salma Kikwete akikaribisha wageni mbalimbali katika mahafali hayo10eMkuu wa shule ya WAMA Nakayama Suma Mensa aakitoa historia ya shule hiyo10gMmoja wa wasanii wa kundi la Mjomba Band linaloongozwa na msanii Mrisho Mpoto akiigaiiza katika igizo maalum lililokuwa likitafsiri changamoto zinazomkabili  mtoto wa kike yatima na anayeishi kwenye mazingira magumu katika suala zima la kupata elimu. 11Mkuu wa Wilaya ya Kionondoni Ndugu Jordan Lugimbana pamoja na waalikwa wengine katikati akiwa katika hafla hiyo11hWahitimu wakiimba wimbo maalum wa kumshukuru Mwenyekiti wa WAMA mama Salma Kikwete13Nyoka alikuwa ni moja ya burudani katika mahafali hayo18Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Regnald Mengi akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza kulia ni Mke wa Makamu wa Rais Mama Aisha Bilal19Baadhi ya majengo ya shule hiyo.2021Mdau Seraphin kutoka Serena Hotel alihudhuria pia22Mama Salma Kikwete katikati akiimbiwa wimbo maalum na wahitimu23Rais Jakaya Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete akicheza wimbo maalum ulioimbwa na wanafuzni wahitimu katika mahafali hayo24Rais Jakaya Kikwete  na Mkewe mama Salma Kikwete wakiongoza viongozi mbalimbali kucheza wimbo huo26Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na makundi mbalimbali mara baada ya kumalizika kwa mahafli hayo jana272829

No comments:

Post a Comment