Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mama Salma Kikwete
Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo WAMA jana wakati
alipowasili katika viwanja vya mahafali kwenye mahafali ya Kwanza ya
Shule ya Sekondari WAMA Nakayama yaliyofanyika katika shule hiyo iliyopo
katika kijiji cha Nyamisati, Wilaya ya Rufiji Mkoa wa Pwani jana.Zaidi
ya wanafunzi 60 walitunukiwa vyeti vya kumaliza kidato cha nne na zawadi
mbalimbali zilitolewa kwa wahitimu wakati wa mahafali hiyo ambayo
ilihudhuriwa pia na viongozi na watu mashuhuri akiwemo balozi wa Japan
na wafanyabiashara ambapo mwenyekiti wa IPP Reginald Mengi aliahidi
kuisadia shule hiyo shilingi milioni 200 kila mwaka kwa miaka mitano
mbazo ni kiasi cha shilingi bilioni moja kwa miaka hiyo mitano.PICHA NA
KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE-NYAMISATI RUFIJIRais Jakaya Kikwete akizungumza na wageni waaikwa na wahitimu wakati wa mahafali hayo jana huko Nyamisati Rufiji.Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa shule ya WAMA Nakayama Suma Mensa na viongozi mbalimbali wakati aliowasili shuleni hapo.Watu mashuhuri na viongozi mbalimbali wakiwa katika mahafali hayoMama Salma Kikwete akiwasili katika eneo la tukio kushoto ni Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya shule hiyo Dr. Ramadhan Dau.Wahitimu wakiingia katika eneo la tukioMwenyekiti wa WAMA Mama Salma kikwete akicheza na wanawake wenzake wake wa viongozi.Rais
Jakaya Kikwete wa nne kutoka kulia akiwa na viongozi mbalimbali katika
meza kuu wakiimba wimbo wa taifa uliooongozwa na wanafunzi wa shule ya
WAMA Nakayama kutoka kulia ni Balozi anzania Mhe.Masaki
Okada Mkuu wa mkoa wa Pwani Ndugu Mwantumu Mahiza, Mama Salma Kikwetena
kutoka kushoto ni Dr. Ramadhan Dau Mwenyekiti wa bodi ya shule ya Wama
Nakayama na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dr. Shukuru Kawambwa.Baadhi wa walimu wa shule hiyoBaadhi ya wanakamati kutoka kulia ni Teddy Mapunda Mkurugenzi wa Kampuni ya Montage, DaudiNasibu katibu mkuu taaisis ya WAMA na Dan Kiondo.Baadhi ya wananfunzi wa shule ya WAMA NakayamaMh. Mbunge Vick Kamata akiongoza wanafunzi wa Wama Nakayama kuimba wimbo maalum kwa wahitimu katika mahafali hayoViongozi mbalimbali wakicheza muziki wakati wa mahafali hayoDr. Ramadhan Dau Mwenyekiti wa bodi ya shule ya Wama Nakayama akizungumza katika mahafali hayoMama Salma Kikwete akikaribisha wageni mbalimbali katika mahafali hayoMkuu wa shule ya WAMA Nakayama Suma Mensa aakitoa historia ya shule hiyoMmoja
wa wasanii wa kundi la Mjomba Band linaloongozwa na msanii Mrisho Mpoto
akiigaiiza katika igizo maalum lililokuwa likitafsiri changamoto
zinazomkabili mtoto wa kike yatima na anayeishi kwenye mazingira magumu
katika suala zima la kupata elimu. Mkuu wa Wilaya ya Kionondoni Ndugu Jordan Lugimbana pamoja na waalikwa wengine katikati akiwa katika hafla hiyoWahitimu wakiimba wimbo maalum wa kumshukuru Mwenyekiti wa WAMA mama Salma KikweteNyoka alikuwa ni moja ya burudani katika mahafali hayoMwenyekiti
wa Makampuni ya IPP Regnald Mengi akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Pwani
Mwantumu Mahiza kulia ni Mke wa Makamu wa Rais Mama Aisha BilalBaadhi ya majengo ya shule hiyo.Mdau Seraphin kutoka Serena Hotel alihudhuria piaMama Salma Kikwete katikati akiimbiwa wimbo maalum na wahitimuRais Jakaya Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete akicheza wimbo maalum ulioimbwa na wanafuzni wahitimu katika mahafali hayoRais Jakaya Kikwete na Mkewe mama Salma Kikwete wakiongoza viongozi mbalimbali kucheza wimbo huoRais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na makundi mbalimbali mara baada ya kumalizika kwa mahafli hayo jana
SERIKALI KUENDELEA KUBORESHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI SEKTA YA MADINI,YAGUSIA
UONGEZAJI THAMANI
-
Na Said Mwishehe,Michuzi TV
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kuboresha mazingira
ya uwekezaji katika sekta ya madini kwa lengo la ...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment