Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisoma hotuba yake wakati akifungua rasmi Mkutano
wa Kitaifa wa Uzazi wa Mpango na kuzindua rasmi Kampeni ya Nyota ya
Kijani, wakati wa mkutano huo uliofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipokea isanduku cha zana za uzazi wa mpango kutoka kwa Miss Tanzania
2013, Happiness Watimanywa, Kulia ni Balozi wa Marie
Stops Tanzania, Narietha Boniface, wakati alipotembelea katika Mabanda
la maonyesho la Marie Stops, alipokuwa akitembelea mabanda ya maonyesho
kwenye Mkutano wa Kitaifa wa Uzazi wa Mpango na Uzinduzi wa Kampeni ya
Nyota ya Kijani, uliofanyika leo Okt. 9, 2013 kwenye Ukumbi wa Mliman
City, Dar es Salaam
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Taaluma wa
Shirika la Engender Health, Feddy Mwanga, wakati alipotembelea katika
Banda hilo la maonyesho katika Mkutano wa Kitaifa wa Uzazi wa Mpango
na Uzinduzi wa Kampeni ya Nyota ya Kijani, uliofanyika leo Okt. 9, 2013
kwenye Ukumbi wa Mliman City, Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akisikiliza maelezo wakati alipotembelea kwenye Banda la
maonyesho la PSI, wakati alipotembelea katika Banda hilo la maonyesho
katika Mkutano wa Kitaifa wa Uzazi wa Mpango na Uzinduzi wa Kampeni
ya Nyota ya Kijani, uliofanyika leo Okt. 9, 2013 kwenye Ukumbi wa Mliman
City, Dar es Salaam.
Banda la PSI limesheheni
Picha ya pamoja ilipigwa.Source: FATHER KIDEVU BLOG
No comments:
Post a Comment