Manowari ambayo wengi wanaifahamu kama submarine imejitokeza kwenye mtaa
mmoja unaojulikana kama Via dei Mercantv na kuleta uharibifu mkubwa
kwenye miundombinu na magari yaliyokuwa yameegeshwa pembezoni mwa
barabara.
Manowari hii haikuibukia hapo kwa bahati mbaya bali ilikuwa ni kwaajili
ya kutangaza agenda ya Protect Your Life. Angalia picha jinsi manowari
ilivyotokeza kwenye jiji hilo la Milan.
No comments:
Post a Comment