Girl Friend wa msanii wa bongo fleva 'Diamond' leo jioni amenitumia text kunifahamisha kuwa ' Alikuwa Kazini Siku Nzima Na Kuwa Hajapata Tatizo Lolote Leo Kuhusu Afya Yake. Taarifa Zilizo Sambaa Kuwa Alizimia Na Kupelekwa Hospitalini Sio Za Kweli Kabisa.
WAZIRI KOMBO AONGOZA MKUTANO WA DHARURA WA KAMATI YA MAWAZIRI WA ASASI YA
SIASA, ULINZI NA USALAMA YA SADC (SADC-Organ).
-
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi
Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ameongoza Mkutano wa Dharura wa Kamati ya
Mawaziri wa A...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment