Pages

Wednesday, October 16, 2013

PICHA YA SIKU::EBWANA EHH MPIGA PICHA ALIPOPIGWA PICHA AKIPIGA PICHA JIONEEEE

Mpiga picha wa chuo kikuu cha Dodoma Udom akutwa kwenye ofisi za utawala wa chuo hicho akiwa hoi kwa usingizi mzito sana na tena huku akikoroma kwa sauti ya juu na kugeuka kuwa kivutio kwa baadhi ya wanachuo hao: CHEZEA USINGIZI WEWE:    source- bossngasa

No comments:

Post a Comment