Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, October 2, 2013

SHEBAB WA KISOMALIA ATOA VITISHO VIKALI KWA NCHI YA KENYA


SHEBAB WA KISOMALIA ATOA VITISHO VIKALI KWA NCHI YA KENYA Kufwatia tukio kali lilotokea huko Kenya katika eneo la biashara la westigate na kusababisha vifo vya watu 69 na wengine 39 kujeruhiwa vibaya, Wanainchi wa Kenya wapewa vitisho vikali kutoka kwa shebab wa kisomalia.
Shebab huyo alijitamba nakusema alihusika katika shambulio lilotokea kwenye eneo la biashara la westigate. Aliendelea kwa kusema kwamba atatoa pigo lingine kwenye sememu ambayo itawauma wa Kenya na atageuza miji ya Kenya kuwa makaburi na mito ya damu itatirika nchini Kenya.

“We will strike Kenyans where it hurts the most, turn their cities into graveyards and rivers of blood will flow in Nairobi,” the Shebab said in a statement.
“The Kenyan government’s decision to keep its invading force in Somalia is an indication that they haven’t yet learnt any valuable lessons from the Westgate attacks,” the extremists added, warning that Kenya was “inviting unprecedented levels of insecurity, bloodshed and destruction.”
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta siku ya jana alisema kwamba majeshi yake hayata ondoka Somalia mpaka amani itakapotawala kwenye nchi hiyo. “We will not be intimated, we will not be cowed,” Kenyatta said. “We will stay there until they bring order to their nation.”

No comments:

Post a Comment