Mrithi wa Al marhum shekh Aboud Rogo aitwae Ibrahim Rogo ameuawa kinyama
na watu wasio fahamika nchini Kenya mtindo huu wa uuwaji unafanana na
vile Aboud Rogo jinsi alivyouuawa na watu wasiofahamika.Shekh Ibrahim
Rogo ameuawa usiku wa kuamkia leo leo akiwa anatokea mskitini,akiwa
pamoja na wenzake kwenye gari ndogo,jumla ya watu wanne inasemekana
kuuawa kwa kupigwa risasi na watu hao wasiofahamka.Mauaji hayo ya
kinyama yametokea wiki mbili tu baada ya tukio la uvamizi wa Wastegate
mall mjini Nairobi
WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA NA TPSF ZAFANYA KIKAO CHA MAJADILIANO
-
*Serikali kupitia Wizara ya Viwanda na Biashara imekutana na kufanya
mazungumzo na Uongozi wa Shirikisho la Sekta Binafsi Tanzania (TPSF)
Januari 22,2...
6 hours ago
No comments:
Post a Comment