Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, October 2, 2013

WAZIRI MKUU MHE. PINDA AWASILI KIGOMA KWA ZIARA YA SIKU SITA

IMG_0503Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya wajumbe wa kamati  ya Ulinzi na Usalama  ya Mkoa wa Kigoma baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kigoma kwa ziara ya siku sita Oktoba 1, 2013(picha na Ofisi ya waziri Mkuu) IMG_0486 Wanawake  wa Kigoma wakicheza ngoma wakati  Waziri Mkuu Mizengo Pinda alipowasili  kwenye uwanja  wa ndege wa Kigoma  kwa ziara ya siku sita Oktoba 1, 2013.  (Picha na Ofisi ya waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment