Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Rais wa Benki ya Exim ya China, Bw.Li Ruogu mjini Beijing Oktoba 17, 2013.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akipokea zawadi kutoka kwa Rais wa Benki ya EXim
ya China Bw. Li Ruogu baada ya mazungumzo yao mjini Beijing Oktoba 17,
2013.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na rais wa Benki ya Exim ya China ,
Bw. Li Ruogu kabla ya mazungumzo yao mjini Beijing Oktoba 17, 2013.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Rais wa China Development Bank
(CDB), Bw. Zheng Zhijie kwenye makao makuu ya Benki hiyo mjini Beijing
Oktoba 17, 2013. kushto ni Waziei wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,
Ukezaji na Uwezeshaji, Dr. Mary Nagu na Kulia ni Balozi wa China nchin,
Dr. Lu Youqing.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akipokea zawadi kutoka kwa Rais wa China
Development Bank, Bw. Zheng Zhijie (katikati) baada ya mazungumzo yao
kwenye makao makuu ya Benki hiyo mjini Beijing, Oktoba 17, 2013. Kushoto
ni Balozi wa China Nchini Dr. Lu Youqing.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akipokea zawadi kutoka kwa Rais wa China
Development Bank, Bw. Zheng Zhijie (katikati) baada ya mazungumzo yao
kwenye makao makuu ya Benki hiyo mjini Beijing, Oktoba 17, 2013. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment