Pages

Thursday, October 31, 2013

WAZIRI NAHODHA AONGOZA KUUAGA MWILI WA MAREHEMU LUTENI MLINDA


1Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Shamsi Vuai Nahodha akitia saini kitabu cha mahudhurio kuuaga mwili wa marehemu Luteni Rajabu Mlima kwenye kambi ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ya Lugalo jijini Dar es Salaam.2Waziri Nahodha akisalimiana na maafisa na viongozi wa JWTZ
34
Waombolezaji waliohudhuria kuuaga mwili wa marehemu.5Askari wa JWTZ wakiutelemsha mwili wa marehemu kutoka kwenye gari la Jeshi katika viwanja vya Lugalo.6Askari wakiwa wameubeba mwili wa marehemu baada ya kuwasili.7Askari wakiuweka mwili wa marehemu kwenye meza maalum kwenye viwanja vya Lugalo kwa ajili ya kuagwa.8Mnadhimu wa Jeshi hilo Luteni Genarali Samuel Ndomba akitoa salamu za rambirambi.11Viongozi wastaafu wa JWTZ waliohudhuria kuuaga mwili wa marehemu.13Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Tiafa, Shamsi Vuai Nahodha akitoa heshima za mwisho kuuaga mwili wa marehemu.
15Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Shamsi Vuai Nahodha akitoa heshima za mwisho kuuaga mwili wa marehemu.18Mchumba wa marehemu akimliwaza mwanae ambaye pia ni mtoto wa marehemu wakati wa kuuaga mwili kwenye viwanja vya Lugalo.

No comments:

Post a Comment