Pages

Tuesday, November 5, 2013

BAHATI BUKUKU AFIWA NA BABA YAKE MZAZI


Msanii wa nyimbo za injili, Bahati Bukuku amefiwa baba yake mzazi Mzee Paul Bukuku baada kuugua kwa muda mrefu. Marehemu amefia katika Hospitali ya Kardinali iliyopo Ukonga jijini Dar es Salaam na msiba upo nyumbani kwa Bahati maeneo ya Tabata, jijini Dar es Salaam.mtandao huu unatoa pole sana kwa Bahati Bukuku

No comments:

Post a Comment