HABARI: Naibu Meya wa Manispaa ya Moshi Mh. Vicent Rimoy [ Chadema ] amefariki dunia
HABARI:
Naibu Meya wa Manispaa ya Moshi Mh. Vicent Rimoy [ Chadema ] amefariki
dunia mchana wa leo kwa shinikizo la damu akiwa hospitalini alipokuwa
akipatiwa matibabu.
Mh. Vicent amekuwa naibu meya toka mwaka 2010 hadi kifo kilipomkuta siku ya leo
No comments:
Post a Comment