Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, November 30, 2013

BERKO ATUA BONGO KUJIUNGA NA SIMBA KARIBUNI.


Aliyekuwa kipa wa Yanga Mghana Yaw Berko ametua leo jijini Dar tayari kuanza maisha mpya na Simba SC.
ALIYEKUWA kipa wa Yanga Mghana Yaw Berko ametua leo jijini Dar tayari ya kuanza maisha mpya na Simba SC.
 Berko ametua jijini leo asubuhi na ndege ya Shirika la Kenya akitokea kwao Ghana na kulakiwa na kiongozi wa ufundi wa Simba Danny Manembe.

Mara baad ya kutua Berko alipata nafasi ya kuzungumza na Salehjembe akisema anaijua Simba vizuri huku pia akimjua kipa wao namba moja Abel Dhaira ambapo atahakikisha anapambana katika mazoezi ili kujihakikishia nafasi katika timu hiyo.
“Naijua Simba, mimi sio mgeni hapa, namjua pia kipa wao yule wa Uganda lakini namtanguliza Mungu, lakini pia nitajituma mazoezini ili kuweza kujipatia nafasi.



No comments:

Post a Comment