Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, November 30, 2013

Video: Helikopta yaanguka kwenye pub na kusababisha maafa jijini Glasgow, Scotland



Watu watatu wamefariki dunia baada ya helikopta ya polisi kuanguka ndani ya pub katika mjini mkuu wa Scotland, Glasgow leo asubuhi. Maafisa wanasema namba ya waliopoteza maisha inatarajia kuongezeka zaidi.


 

No comments:

Post a Comment