Mtaalum wa masuala ya habari ambaye pia ni mratibu wa mafunzo hayo, Sukhdev Chhatbar akitoa neno wakati wa ufunguzi.
Mwandishi
kutoka Tanzania, Romary Mirondo akizungumza jambo na Mtanzania mwenzake
Peter Saramba (katikati) na Balthazar Ndiwayesu kutoka Burundi.
Jumuia ya Afrika Mashariki (EAC) inaendesha mafunzo kwa waandishi
wa habari kutoka nchi wanachama wa jumuia hiyo juu ya namna ya kuripoti
habari zenye migogoro kwa weledi bila kuchochea machafuko au kuvuruga
juhudi za Mtangamano wa EAC. Mkutano huo unafanyika katika Hoteli ya
Hoteli ya Royal Palace, mjini Bunjumbura Burundi.
No comments:
Post a Comment