Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, November 5, 2013

HABARI: Naibu Meya wa Manispaa ya Moshi Mh. Vicent Rimoy [ Chadema ] amefariki dunia

 
 
HABARI: Naibu Meya wa Manispaa ya Moshi Mh. Vicent Rimoy [ Chadema ] amefariki dunia mchana wa leo kwa shinikizo la damu akiwa hospitalini alipokuwa akipatiwa matibabu.

Mh. Vicent amekuwa naibu meya toka mwaka 2010 hadi kifo kilipomkuta siku ya leo

No comments:

Post a Comment