Vin Diesel ambae ana-play role kubwa kwenye movie za Fast and Furious hivi sasa ana make headlines na movie mpya “Riddick” ambayo itaanza kuonyeshwa kwenye theater za Tanzania leo, unaweza kuangalia na ratiba nyingine hapa za majumba ya Cinema weekend hii.
No comments:
Post a Comment