Fahamu hii post haijaonekana kwenye account ya Nisher kwa sasa ila watu wanaofatilia account yake ta facebook, instagram na whatsup wanasema ilikuwepo kote na ameitoe hivi karibuni.
Tunafahamu kuwa Nisher ameonekana kama Replacement ya Adam Juma au kimbilio la wasanii wanapotaka video bora kwa sasa hapa Tanzania baada ya Adam kusitisha kazi hii. Ila pia wasanii wamekuwa wakienda sana Kenya kufanya kazi na Ogopa kitu kinachopelekea mashabiki kuona bado nafasi ya Adam haijazibwa.
Baada ya hii post shabiki wa Nisher alitia neno hapo kuhusu ubora wa Nisher.
No comments:
Post a Comment