HUZUNI::WANAFUNZI WAWILI WA CHUO ZA CBE DODOMA WAFARIKI PAPO HAPO KWA AJALI YA PIKI PIKI
Wanafunzi wawili wa chuo cha biashara CBE Dodoma jana(06/11/2013) majiria ya jioni walipata ajali ya piki piki maeneoya nje kidogo na mji
wa Dodoma ambapo walipoteza uhai papo hapo, kwa mujibu wa ripota wetu
chanzo cha ajali hiyo ilikuwa ni mwendo mkali wa chombo hicho cha moto
piki piki waliokuwa wamepakizana wanafunzi hao na gafla bila kutegemea
walilivaa gari kubwa lililokuwa limaegeshwa pembeni ya bara bara na
kusababisha mauti wa wanafunzi hao wawili ambaye ni GEORGE LULANDALA wa
ODPS pamoja na RAMADHANI LESSO wa ODMK:
No comments:
Post a Comment