Pages

Friday, November 8, 2013

PICHA::MAZIKO YA DJ RANKEEM JANA



Waumini wa Kiislam na Wadau mbali mbali wakiweka udongo ndani ya kaburi la Marehemu RanKeem Ramadhan wakati wa Safari yake ya Mwisho kwenye makaburi ya Sinza, Jijini Dar es Salaam jioni hii.
Waumini wa Kiislam na Wadau mbali mbali wakishirikiana kubeba mwili wa Marehemu RanKeem Ramadhan wakati wa Safari yake ya Mwisho kuelekea kwenye makaburi ya Sinza, Jijini Dar es Salaam jioni hii.
Waumini wa Kiislam na Wadau mbali mbali wakiwa wamekusanyika kwenye mazishi ya Marehemu RanKeem Ramadhan yaliyofanyka kwenye makaburi ya Sinza, Jijini Dar es Salaam jioni hii.
Mwili wa Marehemu RanKeem Ramadhan ukifikishwa kwenye Nyumba yake ya Milele.
Wadau mbali mbali wakiwa kwenye Mazishi ya Marehemu RanKeem Ramadhan jioni hii kwenye Makaburi ya Sinza,jijini Dar es Salaam jioni hii.
 Mwili wa Marehemu RanKeem Ramadhan ukiswaliwa mapema leo jioni kabla ya kwenda kuzikwa kwenye makaburi ya Sinza, Jijini Dar es Salaam jioni ya leo.
 Waumini wa Kiislam na Wadau mbali mbali wakishirikiana kubeba mwili wa Marehemu RanKeem Ramadhan wakati wa Safari yake ya Mwisho kuelekea kwenye makaburi ya Sinza, Jijini Dar es Salaam jioni hii. PICHA KWA HISANI YA MICHUZI JR

No comments:

Post a Comment