Lamborghini haipo kwenye biashara ya magari ya kifahari tu. Na sasa imetangaza smartphone zake ziitwazo Antares.
Simu
hizi chache zimetengenezwa kwa kufuatisha umbo la gari hizo za kifahari
na zinatumia mfumo wa Android 4.3 na zinakuja na 1.5 GHz quad-core
processor, RAM yenye ukubwa GB 1, kumbukumbu ya ndani yenye ukubwa wa GB
32 na micro SD yenye ukubwa wa GB 32. Simu hizi zinauzwa $4,000 ambazo
ni sawa na shilingi milioni 6.2
Source Pamoja Pure Blog
No comments:
Post a Comment