Ndugu Mlaki akiwa anafungua Mkutano wa Maadhimisho ya Miaka 10 ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania.
Mkurugenzi mkuu wa
Mamlaka ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Prof. John S. Nkoma
akifuatilia kwa umakini maadhimisho ya Miaka 10 ya Mamlaka ya
Mawasiliano Tanzania (TCRA)
Baadhi ya wadau
mbalimbali katika secta ya Mawasiliano Tanzania wakiwa katika
Maadhimisho ya Miaka 10 ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania
Waendesha mada
wakiwa mezani Kutoka kushoto ni Bi. Elizabeth Nzagi, Ndugu. Haruni
Lemanya , Aliyeshika Microphone no Ndugu. Mlaki ambaye ndiye Mwendeshaji
wa Mkutano, Injinia James Kilaba na Albert Richard .
Wadau mbalimbali
wa mawasiliano Tanzania pamoja na Secta nyengine mbalimbali wakiwa
wanafuatilia kwa umakini mada zinazo endelea
Bi. Elizabeth Nzagi akizungumzia Mada juu ya sheria na mambo muhimu katika mawasiliano.
Injinia James
Kilaba akizungumzia juu ya mafanikio ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania
(TCRA) kuanzia mwanzo mpaka kufikia Miaka 10.
Mkurugenzi wa Mambo ya Posta Tanzania Bi.Makubuli akizungumzia jambo juu ya maendeleo ya Posta.
Ndugu Haruni
Lemanya akizungumzia maswala mbalimbali ya Posta ikiwa ni pamoja na
maendeleo ya hali ya juu ambayo yamefanywa na posta, mfano kuanzisha
utaratibu wa kuweka sanduku la posta kila nyumba.
Ndugu Albert
Richard akizungumzia juu ya nguvu ya Mabadiliko ya Sayansi na
Teknorojia katika kukuza uchumi wa Tanzania ikiwa ni Mijini na Vijijini
Endelea kufuatilia hapa
picha zote na dar es salaam yetu
No comments:
Post a Comment