Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, November 4, 2013

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA WAWEKEZAJI WA SEKTA YA KOROSHO NCHINI.


01_e5d44.jpg
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akizungumza na baadhi ya wadau wa Sekta ya Korosho, wakati akiagana nao baada ya kufungua rasmi Kongamano la Sekta ya Korosho Nchini. Kongamano hilo lililofunguliwa leo,limefanyika katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Korosho, Mudhihir Mudhihir. Picha na OMR
02_6284f.jpg
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua Kongamano la Wawekezaji wa Sekta ya Korosho nchini,lililofanyika jijini Dar es Salaam,leo katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere. Picha na OMR
03_ad860.jpg
Waziri wa Kilimo, Eng. Christopher Chiza, akizungumza kabla ya kumkaribisha Makamu wa Rais kufungua kongamano hilo.
04_2b278.jpg
Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Korosho, Mudhihir Mudhihir, akizungumza kabla ya kumkaribisha Waziri wa Kilimo, kumkaribisha Makamu wa Rais kufungua kongamano hilo.

No comments:

Post a Comment