Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akivishwa Beji ya Mapambano dhidi ya Ukimwi na Katibu wa Hamasa na
Chipukizi Taifa, Paul Makonda, wakati alipokutana na Vijana hao wa Umoja
wa Vijana wa CCM (UVCCM) wenye lengo la kusambaza ujumbe kuhusu
mapambano dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa Ukimwi, kuelekea kilele cha
siku ya Ukimwi Duniani Desemba 1. Picha na OMR Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na Vijana wa UVCCM, baada ya mazungumzo
yao yaliyofanyika jana jijini Dar es Salaam. Picha na OMR Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika mazungumzo na Vijana wa UVCCM, baada yaliyofanyika jana
jijini Dar es SalaamPicha OMR Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na baadhi ya Vijana wa CCM, baada ya mazungumzo yao
alipokutana nao jana kwa ajili ya kumkabidhi ujumbe kuhusu mapambano
dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa Ukimwi, kuelekea kilele cha siku ya
Ukimwi Duniani Desemba 1. Picha na OMR
MUFTI MKUU TANZANIA KUJA NA ZIARA YA KUIMARISHA UONGOZI MKOA WA DODOMA
-
Mufti Mkuu Sheikh Abubakar Zubeir amesema Baraza limepanga kufanya ziara
rasmi mkoani Dodoma, ikiwa ni sehemu ya mpango wa kutembelea mikoa yote 26
nc...
8 hours ago
No comments:
Post a Comment