Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, November 25, 2013

MAMA SALMA KIKWETE, MJUMBE WA NEC AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA MATAWI HUKO LINDI


IMG_7993Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, (CCM), kutoka Lindi, Mama Salma Kikwete akipokewa na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Lindi Ndugu Ali Mtopa wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Lindi tarehe 24.11.2013.
IMG_8006Mjumbe wa NEC Taifa ya CCM, Mama Salma Kikwete, akivishwa skafu mara baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Lindi tarehe 24.11.2013.
IMG_8093Mjumbe wa NEC Taifa ya CCM kutoka Lindi Mjini na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiongea na wajumbe wa Halmashauri ya Tawi la Jangwani lililoko katika Kata ya Chikonji huko Lindi terehe 24.11.2013.IMG_8140Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi kutoka Lindi Mjini Mama Salma Kikwete akisononeka baada ya kubaini kuwa watoto wengi wanaoonekana katika picha kutoka Kijiji cha Jangwani wamekatisha masomo yao. Mama Salma alikwenda kijijini hapo kuongea na wajumbe wa Halmashauri ya Tawi hilo tarehe 24.11.2013
PICHA NA JOHN LUKUWI.

No comments:

Post a Comment