Mbunge wa Ukerewe kwa tiketi ya CHADEMA, Salvatory Machemli, leo
mchana amefutiwa dhamana na Mahakama ya Wilaya ya Ukerewe na kuamriwa
aende ndani hadi tarehe ya kesi yake itakapotajwa tena!
Kesi inayokabili ni ya uchochezi ya mwaka 2010 wakati wa Kampeni, akidaiwa kutoa maneno ya uchochezi.
Kesi hii ilifunguliwa mwaka 2012, tayari KUB amemwandikia rasmi katibu wa Bunge na kumjulisha juu ya jambo hilo. Aidha, wananchi wameendelea kutafuta dhamana kwani sharti lililowekwa ni kuwa na hati tatu za nyumba na wadhamini watatu.
No comments:
Post a Comment