Huyu ni mchezaji wa timu ya vijana ya JKT Ruvu chini ya umri wa miaka 20, Hivi kwa hali hii soka letu litaendelea kweli? Asante Bin Zubery kuzidi kutufumbua macho lol, niliambiwa na mtu wangu
wa karibu alienda uwanja wa Karume akakuta vijana wengi wanaocheza ukiwaangalia kiumri na umri wa mashindano ya Uhai Cup ni tofauti
No comments:
Post a Comment